Staa mrembo wa Bongo Movies, Rose Ndauka siku ya leo amezidua jarida lake linaloitwa Rozzie ambalo awali lili kuwa kwenye mfumo wa kidigitali.
Kupitia ukurasa wake mtandaoni Rose ameeleza;
MAAJABU YA MTANDAONI BOFYA HAPO CHINI HUTAAMINI MACHO YAKO.Namshukuru Mungu kwa yote, ilikua ndoto yangu kubwa kuileta Rozzie Magazine iwe kwenye Hard Copy baada ya kuwa online kwa muda mrefu,
Leo hii nimezindua Rozzie Magazine ambayo sasa mtaweza kuipata mitaani, kwa sasa itakua free na itapatikana sehemu mbali mbali.
Thanks to my team and everybody who was there from the scratch.. Niwashukuru na Nyie mashabiki wangu hope mtaendeleza support kwa hili linalokuja.
I prayed 2016 to be a year of success,God is listening… Papah Ahsante!
ABOUT PRINCE BEWISA: PRINCE BEWISA BLOG is an independent organization which belongs to Bewisa Multimedia and Communication (BMC Media). Prince Bewisa was officially established on September 25, 2013 for the purpose of publishing Social contents that benefits to every visitor and community in general. It’s social blog for News, Entertainments, Education, Sports, Articles, and Business.
Post a Comment