Featured
Loading...

Morroco Yatamani Kurudi Umoja Wa Africa

Image result for Morroco yatamani kurejea Umoja wa AfrikaMorroco imetoa tamko la nia yake ya kutaka kujiunga tena katika umoja wa Afrika.katika ujumbe ulitumwa kutoka kwenye mkutano wa Umoja wa Matataifa nchini Rwanda,mjini Kigali,Mfalme wa Morocco Mohammed wa sita amesema sasa ni wakati muafaka kwa taifa lake kurejea na kuchukua nafasi yake katika jumuiya hiyo ya umoja wa Afrika.
Morocco ilijitoa katika umoja huo mwaka 1984 wakati umoja huo ulipotambua uhuru wa eneo la magharibi mwa sahara.Ambapo Morocco ilidai kuwa eneo la magharibi mwa sahara lilikuwa ndani ya mipaka yake.
Hata hivyo Umoja wa Afrika umesema utaendelea kusukuma upatikanaji wa haki ya watu wa eneo la Magharibi mwa Sahara ili kuwa na uhuru kamili bila kuingiliwa

MAAJABU YA MTANDAONI BOFYA HAPO CHINI HUTAAMINI MACHO YAKO.

ABOUT PRINCE BEWISA: PRINCE BEWISA BLOG is an independent organization which belongs to Bewisa Multimedia and Communication (BMC Media). Prince Bewisa was officially established on September 25, 2013 for the purpose of publishing Social contents that benefits to every visitor and community in general. It’s social blog for News, Entertainments, Education, Sports, Articles, and Business.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UHURU WA MAWAZO | Designed By Code Nirvana
Back To Top