Featured
Loading...

Ukatili wa polisi kuchunguzwa Kenya

Image captionPolisi akimpiga mwandamanaji
Spika wa bunge la Seneti nchini Kenya Ekwe Ethuro, ameidhinisha mipango ya kuchunguza madai ya ukatili wa polisi wakati wa maandamano ya upinzani nchini humo siku za hivi karibuni.
Watu wawili waliuawa na wengine watano kujeruhiwa katika mji wa Magharibi wa Kisumu siku ya Jumatatu.
Risasi ilitolewa kutoka kwa mwili wa mtoto wa kiume ambaye alijikuta katikati ya maandamano.
Image copyrightREUTERS
Image captionKamati ya ulinzi ya Seneti, itatoa ripoti ya uchunguzi wake baada ya siku sitini.
Polisi waliwaua kwa kuwapiga risasi watu watatu katika maandamano kama hayo mwezi Mei. Wanadai kuwa walikuwa wakilijinda na kuzuia uporaji wa mali.
Bwana Ethuro amesema kuwa kamati ya ulinzi ya Seneti, itatoa ripoti ya uchunguzi wake baada ya siku sitini.

MAAJABU YA MTANDAONI BOFYA HAPO CHINI HUTAAMINI MACHO YAKO.

ABOUT PRINCE BEWISA: PRINCE BEWISA BLOG is an independent organization which belongs to Bewisa Multimedia and Communication (BMC Media). Prince Bewisa was officially established on September 25, 2013 for the purpose of publishing Social contents that benefits to every visitor and community in general. It’s social blog for News, Entertainments, Education, Sports, Articles, and Business.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UHURU WA MAWAZO | Designed By Code Nirvana
Back To Top