Niko Kahama polisi wamezuia mikutano yetu, nguvu kubwa imetumika na inatumika mpaka sasa kutawanya wananchi, nilidhani mtu anaejinasibu kuungwa mkono nchi nzima angejiamini kuliko yule asieungwa mkono,sasa ni wazi kwamba ndani ya serikali hii kuna madudu mengi sana na imejaa hofu tupu, walianza kwa kuweka bunge gizani hii yote ni kujaribu kuzuia taarifa zisiwafikie wananchi, sasa hata mikutano ya hadhara wanazuia eti kwasababu za kiintelijensia hivi hiyo intelijensia ya polisi iko kwenye mikutano ya Chadema tu? Haikuweza kutambua matukio makubwa ya ndugu zetu wanaouwawa kinyama kwa kuchinjwa? #Hapa Hofu Tu
MAAJABU YA MTANDAONI BOFYA HAPO CHINI HUTAAMINI MACHO YAKO.
ABOUT PRINCE BEWISA: PRINCE BEWISA BLOG is an independent organization which belongs to Bewisa Multimedia and Communication (BMC Media).
Prince Bewisa was officially established on September 25, 2013 for the purpose of publishing Social contents that benefits to every visitor and community in general.
It’s social blog for News, Entertainments, Education, Sports, Articles, and Business.
Filed Under:
siasa
Tuesday, 7 June 2016
Post a Comment