Featured
Loading...

Manispaa ya Moshi Mjini ilivyoweza kujipotezea mapato yake Kwenye kata ya Masaranga kipindi cha nyuma na sasa

Katika kikao cha leo kata ya Msaranga  .Wananchi wameoji uuzwaji wa viwanja kwenye kata yao
Majibu waliopewa ni kama ifatavyo

"Mii sijachukua pesa ya wananchi wanayolipa kama pato la mtaa kila wanapouza ardhi yao
kwakuwa wananchi ao ni maskini sana
na wanauza kwakuwa wanashida"

Viongozi kama hawa wanaujumu uchumi kwakuwa
  Moja;makubaliano kati ya wananchi na viongozi hao awali ilikuwa ni kutoza pesa kwa kila uuzwaji wa kiwanja
Makubaliano  kati ya wananchi na viongozi yalikuwa
kila mwanchi anaponunua eneo sharti alipe pesa ya kuchangia maendeleo
   
  Note:nini kimejificha kati ya Watendaji na wenyeviti wa kata ya Msaranga nan anapitisha muhuri wa kusainisha uuzwaji wa viwanja


Manispaa ifanyaje ili kupata mapato yake yaliopotee
   
                           USHAURI
Moja:irudie viambatanishi vya uuzwaji wa viwanja vyote vya mtaa
 
 Kama wanunuaji wanauwezo wa kununua viwanja vyenye thaman ya kuanzia millioni tano na kuendelea kwanini washindwe kulipa izo pesa za maendeleo na manispaa ikajipatia mapato yake


MAAJABU YA MTANDAONI BOFYA HAPO CHINI HUTAAMINI MACHO YAKO.

ABOUT PRINCE BEWISA: PRINCE BEWISA BLOG is an independent organization which belongs to Bewisa Multimedia and Communication (BMC Media). Prince Bewisa was officially established on September 25, 2013 for the purpose of publishing Social contents that benefits to every visitor and community in general. It’s social blog for News, Entertainments, Education, Sports, Articles, and Business.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UHURU WA MAWAZO | Designed By Code Nirvana
Back To Top