Featured
Loading...

Wapalestina 3 wauawa na wa-Israili

Image copyrightAFP
Image captionMaelfu ya watu walijitokeza katika mazishi ya vijana hao
Askari wa usalama wa Israili, wamewapiga risasi na kuwauwa vijana watatu wa Palestina katika ufukwe wa Magharibu unaokaliwa na taifa hilo la kiyahudi.
Jeshi la Israil linasema wawili kati yao waliwashambulia kwa mawe, askari waliokuwa wanapiga doria, na walitumia bastola.
Image copyright
Image captionAskari wa usalama wa Israili, wamewapiga risasi na kuwauwa vijana watatu wa Palestina katika ufukwe wa Magharibu
Mpalestina mwengine aliuwawa baada, inavyodaiwa, kujaribu kumpiga kisu polisi wa mpakani karibu na Jerusalem na Bethlehem.
Hakuna Mu-Israili aliyeumia katika tukio hilo.

MAAJABU YA MTANDAONI BOFYA HAPO CHINI HUTAAMINI MACHO YAKO.

ABOUT PRINCE BEWISA: PRINCE BEWISA BLOG is an independent organization which belongs to Bewisa Multimedia and Communication (BMC Media). Prince Bewisa was officially established on September 25, 2013 for the purpose of publishing Social contents that benefits to every visitor and community in general. It’s social blog for News, Entertainments, Education, Sports, Articles, and Business.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UHURU WA MAWAZO | Designed By Code Nirvana
Back To Top