Featured
Loading...

Somalia

Shirika linalosimamia safari za majini nchini Somalia, (IMB), limetoa wito kwa mabaharia wa kigeni walioko katika pwani ya Somalia kuwa makini wanapofanya shughuli zao licha ya uharamia kupungua mwaka wa 2015 katika pwani hiyo.
Shirika hilo limetoa tahadhari haswa kwa mabaharia walioko katika eneo la Gulf of Aden linalopakana na Indian Ocean kuwa wangalifu zaidi, kwa mujibu wa taarifa ya kila mwaka iliyotolewa na shirika hilo ya mwaka wa 2015.
Mkurugenzi mkuu wa shirika hilo la IBM, Pottengal Mukundan, alisema, "Mabaharia wote hawapaswi kulegea katika kuchukua tahadhari, maana hali ya Somalia bado ni tete na uwezekano wa kupata mashambulizi uko juu sana. Shambulizi moja tu litadhoofisha juhudi zote ambazo zimewekwa ili kuhakikisha usalama katika pwani ya Somalia".

MAAJABU YA MTANDAONI BOFYA HAPO CHINI HUTAAMINI MACHO YAKO.

ABOUT PRINCE BEWISA: PRINCE BEWISA BLOG is an independent organization which belongs to Bewisa Multimedia and Communication (BMC Media). Prince Bewisa was officially established on September 25, 2013 for the purpose of publishing Social contents that benefits to every visitor and community in general. It’s social blog for News, Entertainments, Education, Sports, Articles, and Business.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UHURU WA MAWAZO | Designed By Code Nirvana
Back To Top