Featured
Loading...

Serikali yaipa siku 30 TASAF kuwafikisha katika vyombo vya Sheria waliotumia fedha vibaya.


Serikali imeipa siku thelathini Menejimenti ya  Mfuko wa Maendeleo ya Jamii nchini TASAF kuwatafuta na kuwafikisha katika vyombo vya sheria watu waliohusika na kuzitumia kinyume na taratibu fedha zilizopangwa kwa ajili ya miradi ya TASAF.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Utumishi na  Utawala Bora anjela kairuki ametoa agizo hilo mara baada ya kukutana na wafanyakazi wa mfuko huo na kusema kuwa kamwe Serikali haiwezi kuvumilia fedha zikitumika vibaya ambao pia ametaka miradi ya tasaf kutoa ajira zaidi nchini...angela ka
 
Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Tasaf Ladislaus Mwamanga amesema uwepo tasaf kwa kiasi kikubwa umesaidia kuzifikia kaya maskini nchini na kuzipunguzia makali ya umaskini ambayo walikuwa nayo

MAAJABU YA MTANDAONI BOFYA HAPO CHINI HUTAAMINI MACHO YAKO.

ABOUT PRINCE BEWISA: PRINCE BEWISA BLOG is an independent organization which belongs to Bewisa Multimedia and Communication (BMC Media). Prince Bewisa was officially established on September 25, 2013 for the purpose of publishing Social contents that benefits to every visitor and community in general. It’s social blog for News, Entertainments, Education, Sports, Articles, and Business.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UHURU WA MAWAZO | Designed By Code Nirvana
Back To Top