Featured
Loading...

Professor Jay

UKWELI UNA TABIA YA KUSHINDA SIKU ZOTE!!! 
Ndugu zangu wote wapenda HAKI na UKWELI napenda kuwatangazia rasmi kuwa ile kesi ya kupinga matokeo yangu ya ubunge wa jimbo la Mikumi IMEFUTWA RASMI baada ya mlalamikaji JONAS E. NKYA kushindwa kulipa gharama za dhamana ya kesi sh milioni 15 ndani ya siku 14 kama alivyotakiwa na mahakama kuu, Hivyo basi mheshimiwa JAJI KITUTSI ameifutilia mbali na kumtaka mlalamikaji JONAS alipe na gharama zote zilizotokana na shauri hilo, Heshima kubwa sana kwa wakili Msomi sana TUNDU LISSU na Timu yake yote!!!
NB;
Mtumishi wenu JOSEPH LEONARD HAULE Ndie mbunge halali wa jimbo la MIKUMI 2015-2020, Nawaomba sana ushirikiano zaidi na zaidi ili tuweze kuijenga MIKUMI yetu tunayoitaka yenye maendeleo kwa watu wote!
ASANTENI SANA...
MUNGU AWABARIKI SANA! !!

MAAJABU YA MTANDAONI BOFYA HAPO CHINI HUTAAMINI MACHO YAKO.

ABOUT PRINCE BEWISA: PRINCE BEWISA BLOG is an independent organization which belongs to Bewisa Multimedia and Communication (BMC Media). Prince Bewisa was officially established on September 25, 2013 for the purpose of publishing Social contents that benefits to every visitor and community in general. It’s social blog for News, Entertainments, Education, Sports, Articles, and Business.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UHURU WA MAWAZO | Designed By Code Nirvana
Back To Top