Wananchi hao ambao wengi wao ni wakulima na wategemezi wakubwa wa kilimo
wamekuwa wakikosa majina yao kwenye orodha ya waitaji wa pembejeo za kilimo
Na majina kuandikwa watu wasio itajika
Ikiwa na maana wamiaji wasijuhusisha na kilimo
Kwenye kikao cha leo pametokea kutoelewana
nimemwomba mwenyekiti wa kikao anipe majina ya waliotajwa leo niambatanishe kama ushaidi amekataa akidai mkutano aujaisha
wanachi wanachoomba
kupunguziwa garama za kununua rudhuku kwa shilingi lakimoja
na wahusika wapewa wanaostaili
MAAJABU YA MTANDAONI BOFYA HAPO CHINI HUTAAMINI MACHO YAKO.
ABOUT PRINCE BEWISA: PRINCE BEWISA BLOG is an independent organization which belongs to Bewisa Multimedia and Communication (BMC Media). Prince Bewisa was officially established on September 25, 2013 for the purpose of publishing Social contents that benefits to every visitor and community in general. It’s social blog for News, Entertainments, Education, Sports, Articles, and Business.
Post a Comment