Featured
Loading...

MAHAKAMA YA AMURU PROFESSOR JAY ALIPWE



Mahakama Kuu kupitia Mheshimiwa Jaji IGNAS KITUTSI asubuhi hii imetupilia mbali Maombi Madogo ya Kesi ya kuomba kupunguziwa gharama za dhamana ya kesi (security for cost) iliyofunguliwa dhidi yangu na mpinzani wangu Jonas Nkya. Mahakama kuu imetupilia mbali kesi hiyo na kukubaliana na hoja za mapingamizi ya kisheria yaliyowekwa na jopo la Mawakili wangu wasomi linaloongozwa na Tundu Lissu na John Mallya. Mahakama pia imemuamuru mlalamikaji atulipe gharama zetu zote za kesi na usumbufu!!!
ASANTE MUNGU, UKWELI UNA TABIA YA KUSHINDA!!

MAAJABU YA MTANDAONI BOFYA HAPO CHINI HUTAAMINI MACHO YAKO.

ABOUT PRINCE BEWISA: PRINCE BEWISA BLOG is an independent organization which belongs to Bewisa Multimedia and Communication (BMC Media). Prince Bewisa was officially established on September 25, 2013 for the purpose of publishing Social contents that benefits to every visitor and community in general. It’s social blog for News, Entertainments, Education, Sports, Articles, and Business.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright 2025 UHURU WA MAWAZO | Designed By Code Nirvana
Back To Top