ETI MZEE MKAPA ANATAKA KUPANGIWA MAJUKUMU MAPYA?
Nimesikia mzee Mkapa anasema yuko tayari kupangiwa majukumu!
At the age of 77 years na uzoefu wa kuongoza nchi hii kwa miaka 10 kama rais. Kwa nini usimame hadharani na kutangaza kuwa unataka majukumu? Yapi ambayo ulishindwa kufanya katika uongozi wako?
At the age of 77 years na uzoefu wa kuongoza nchi hii kwa miaka 10 kama rais. Kwa nini usimame hadharani na kutangaza kuwa unataka majukumu? Yapi ambayo ulishindwa kufanya katika uongozi wako?
Wazee wetu wastaafu wa hizi Ofisi kubwa lazima wajifunze kuchagua maneno, huu siyo wakati wa kupangiwa majukumu, huu ni wakati wa nyinyi kushauri mliowaachia madaraka na kuwapa busara na uzoefu wenu. Majukumu waachieni vijana.
Mtu aliyezaliwa mwaka 1938 anaomba kupangiwa majukumu miaka 77 baadaye, miaka 40 baada ya kuzaliwa kwake walizaliwa vijana wapya ambao miaka 37 baadaye (yaani leo) ndiyo madaktari na maprofesa, hawa wapangiwe nini sasa?
Mtatiro J.
ABOUT PRINCE BEWISA: PRINCE BEWISA BLOG is an independent organization which belongs to Bewisa Multimedia and Communication (BMC Media). Prince Bewisa was officially established on September 25, 2013 for the purpose of publishing Social contents that benefits to every visitor and community in general. It’s social blog for News, Entertainments, Education, Sports, Articles, and Business.
Post a Comment