Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nasari alifanya ziara ya ghafla kwenye hospitali ya wilaya ya Meru baada yakupokea malalamiko ya wananchi na kushuhudia uozo mkubwa ikiwemo wahudumu kutoa lugha chafu kwa wagonjwa, vyoo vichafu, vitanda kukosa vyandarua, mashuka machafu na yaliyochanika hali iliyomlazimu kutoa saa sita wahusika kurekebisha hali hiyo. MAAJABU YA MTANDAONI BOFYA HAPO CHINI HUTAAMINI MACHO YAKO.
ABOUT PRINCE BEWISA: PRINCE BEWISA BLOG is an independent organization which belongs to Bewisa Multimedia and Communication (BMC Media). Prince Bewisa was officially established on September 25, 2013 for the purpose of publishing Social contents that benefits to every visitor and community in general. It’s social blog for News, Entertainments, Education, Sports, Articles, and Business.
Post a Comment