Featured
Loading...

Theresa May Awa Waziri Mkuu Wa Uingereza

Image result for Yeye ndiye mwanamke wa kwanza kuhudumu kama waziri mkuu tangu Margaret Thatcher.
Akizungumza baada ya kupokea ufungua wa makao rasmi ya waziri mkuu wa Uingereza 10 Downing Street bi May amehakikishia washirika wake na mataifa ya muungano wa ulaya kuwa licha ya taifa hilo kuamua kujiondoa,
Uingereza inapania kujiunga na mataifa shirika na kutekeleza wajibu wake katika muungano wa mataifa huru duniani.
Amesema kuwa serikali yake haitanaswa na mtego wa kuwasikiza mabwenyenye walio wachache na kusahau wananchi wa kawaida.
Malkia tayari amempa idhini ya kuunda serikali mpya muda mchache tu baada ya kujiuzulu rasmi kwa aliyekuwa waziri mkuu bwana David Cameron.Image result for Yeye ndiye mwanamke wa kwanza kuhudumu kama waziri mkuu tangu Margaret Thatcher.
           Ndiye mwanamke wa kwanza kuhudumu kama waziri mkuu tangu Margaret Thatcher.
 Yeye ndiye mwanamke wa kwanza kuhudumu kama waziri mkuu tangu Margaret Thatcher.

MAAJABU YA MTANDAONI BOFYA HAPO CHINI HUTAAMINI MACHO YAKO.

ABOUT PRINCE BEWISA: PRINCE BEWISA BLOG is an independent organization which belongs to Bewisa Multimedia and Communication (BMC Media). Prince Bewisa was officially established on September 25, 2013 for the purpose of publishing Social contents that benefits to every visitor and community in general. It’s social blog for News, Entertainments, Education, Sports, Articles, and Business.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UHURU WA MAWAZO | Designed By Code Nirvana
Back To Top