Zaidi ya wanafunzi 200 nchini Burundi wamefukuzwa kutoka taasisi za elimu baada ya picha za rais Pierre Nkurunziza kuharibiwa.
Maafisa walisema kuwa wanafunzi katika eneo la Gahinga mashariki mwa nchi, waliadhibiwa kwa kukataa kumfichua yule aliyetekeleza kitendo hicho.
Mapema mwezi huu, watoto was hule 6 ni kati ya watu waliokamatwa kwa madai kuwa waliharibu picha za rais zilizo katika vitabu vya shule vya kusoma.
Burundi imekumbwa na ghasia tangu bwana Nkurunziza kuwania na kushinda urais kwa muhula wa tatu mwaka uliopita.
MAAJABU YA MTANDAONI BOFYA HAPO CHINI HUTAAMINI MACHO YAKO.
ABOUT PRINCE BEWISA: PRINCE BEWISA BLOG is an independent organization which belongs to Bewisa Multimedia and Communication (BMC Media). Prince Bewisa was officially established on September 25, 2013 for the purpose of publishing Social contents that benefits to every visitor and community in general. It’s social blog for News, Entertainments, Education, Sports, Articles, and Business.
Post a Comment