Featured
Loading...

Mahakama kuu kupinga kuondolewa Maduro

Image copyrightAFP
Image captionRaia wa Venezuela wanaomuunga mkono Rais Maduro
Serikali ya Venezuela imeitaka mahakama kuu kupinga mapendekezo kutoka upande wa upinzani ya kutaka kupigwa kwa kura ya maoni ya kumtoa madarakani Rais Nicolas Maduro.
Afisa wa ngazi ya juu kutoka serikalini Jorge Rodriguez amewatuhumu viongozi wanaohusika katika kuratibu kura ya maoni kuwa ni wadanganyifu. Wiki iliyopita ,tume ya uchaguzi ya Venezuela ilitangaza kuwa ni zaidi ya sahihi laki sita zilisainiwa kiubadhilifu katika kupitisha kura ya maoni kwa sababu ya madai ambayo yalikiuka utaratibu. Upande wa upinzani wamesema kuwa mamlaka ya tume ina uependeleo baina yao. Kwa sasa Venezuela inayumba na kiuchumi kutokana na mfumuko mkubwa wa bei pamoja na ukosefu wa chakula na mahitaji muhimu.

MAAJABU YA MTANDAONI BOFYA HAPO CHINI HUTAAMINI MACHO YAKO.

ABOUT PRINCE BEWISA: PRINCE BEWISA BLOG is an independent organization which belongs to Bewisa Multimedia and Communication (BMC Media). Prince Bewisa was officially established on September 25, 2013 for the purpose of publishing Social contents that benefits to every visitor and community in general. It’s social blog for News, Entertainments, Education, Sports, Articles, and Business.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UHURU WA MAWAZO | Designed By Code Nirvana
Back To Top