Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, Mkurugenzi wa Afrika katika Taasisi ya Centre for Strategic and International Studies (CSIS), Jennifer Cooke, Rais wa Taasisi ya International Republican Institute (IRI), Balozi Mark Green, na Naibu Mkurugenzi anayeshughulika na Afrika Mashariki na Kusini wa Taasisi ya National Democratic Institute (NDI), Mercedeh Momeni wakizungumza kwa nyakati tofauti katika mkutano maalum ulioandaliwa na CSIS jana tarehe 13 June, 2016 kwenye makao makuu ya taasisi hiyo kujadli hali ya Zanzibar.
ABOUT PRINCE BEWISA: PRINCE BEWISA BLOG is an independent organization which belongs to Bewisa Multimedia and Communication (BMC Media). Prince Bewisa was officially established on September 25, 2013 for the purpose of publishing Social contents that benefits to every visitor and community in general. It’s social blog for News, Entertainments, Education, Sports, Articles, and Business.
Post a Comment