Featured
Loading...

Maveterani wampinga rais Mugabe



Image copyrightno
Image captionRais Mugabe na Grace Mugabe
Polisi nchini Zimbabwe wamewarushia mabomu ya kutoa machozi pamoja na maji ya kuwasha kwa lengo la kuzuia maandamano yaliyopangwa na maelfu maveterani wa zamani wa kivita mjini Harare.
Maveterani hao walieleza sababu za maandamano yao kuwa ni kupinga wazo ama pendekezo la mke wa Rais Robert Mugabe bi Grace kupendekezwa kuwa ndiye rais ajaye wa nchi hiyo.
Rais Mugabe ambaye alitimiza umri wa miaka tisini na miwili siki hii, pamoja na pendekezo hilo, Grace Mugabe amesema kwamba mpaka sasa matarajio ya kuwa rais ingawa inaonekana dhahiri kwamba yeye ndiye mwenye nafasi kubwa ya kuwa mgombea wa nafasi hiyo.
Makama wa rais wa sasa nchini humo Emmerson Mnangagwa anatajwa kuwa ndiye chaguo la vyama vya upinzani nchini humo na hata ndani ya chama tawala cha ZANUPF na anamashiko kwa wapigania uhuru walio wengi wa Zimbabwe.

MAAJABU YA MTANDAONI BOFYA HAPO CHINI HUTAAMINI MACHO YAKO.

ABOUT PRINCE BEWISA: PRINCE BEWISA BLOG is an independent organization which belongs to Bewisa Multimedia and Communication (BMC Media). Prince Bewisa was officially established on September 25, 2013 for the purpose of publishing Social contents that benefits to every visitor and community in general. It’s social blog for News, Entertainments, Education, Sports, Articles, and Business.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UHURU WA MAWAZO | Designed By Code Nirvana
Back To Top