Ufisadi wa #HatiFungani ya USD 600 milioni ni moja ya kielelezo cha namna makampuni makubwa ya kimataifa ( Multinationals ) kama Standard Bank ya Uingereza yanavyohonga ili kupata biashara kwenye nchi zinazoendelea. Serikali ya Tanzania itumie kashfa hii kuyaabisha mataifa ya kibeberu ili kukomesha kabisa rushwa zinazotolewa na Multinationals ili kupata biashara kwenye nchi masikini. Tuwe nchi ya kwanza katika Afrika kuyaadhibu makampuni haya kwa vitendo vyao vya rushwa
MAAJABU YA MTANDAONI BOFYA HAPO CHINI HUTAAMINI MACHO YAKO.
ABOUT PRINCE BEWISA: PRINCE BEWISA BLOG is an independent organization which belongs to Bewisa Multimedia and Communication (BMC Media).
Prince Bewisa was officially established on September 25, 2013 for the purpose of publishing Social contents that benefits to every visitor and community in general.
It’s social blog for News, Entertainments, Education, Sports, Articles, and Business.
Post a Comment