Waziri wa elimu Dr Joyce Ndalichako afuta rasmi mfumo wa kukokotoa matokeo kwa mtindo wa GPA. Ameagiza matokeo ya kidato cha 4 na 6 yatolewe kwa mfumo wa madaraja (divisions) kama ilivyokuwa hapo zamani.
Amedai kuwa amefikia uamuzi huo baada ya Baraza la Mitihani (NECTA) kushindwa kutoa utetezi wa kisayansi juu ya sababu zilizopelekea wao kubadili mfumo wa upangaji madaraja ya ufaulu kwa wanafunzi...
Mimi binafsi nampongeza sana Ndalichako. Huu ndio utumishi tunaoutaka. Siasa isiendeshe Elimu, Elimi ndiyo iendeshe siasa.
ABOUT PRINCE BEWISA: PRINCE BEWISA BLOG is an independent organization which belongs to Bewisa Multimedia and Communication (BMC Media). Prince Bewisa was officially established on September 25, 2013 for the purpose of publishing Social contents that benefits to every visitor and community in general. It’s social blog for News, Entertainments, Education, Sports, Articles, and Business.
Post a Comment