Mkuu wa tuzo za filamu za Oscars, Cheryl Boone amesema atachukua hatua kuleta mabadiliko, baada ya wadau wa filamu, Spike Lee na Jada Pinkett Smith kugoma kuhudhuria shughuli ya tuzo hizo kwa sababu wengi wanaowania tuzo ni wazungu. Spike Lee kupitia Instagram amesema hawezi kuunga mkono tuzo hizo "zilizojaa wazungu watupu". Mcheza filamu, Jada Pinkett Smith katika ujumbe wake kupitia Facebook amesema hatohudhuria shughuli hiyo. Huu ni mwaka wa pili mfululizo kwa watu kususia, kutokana na kutotajwa kwa watu weusi wengi katika kuwania tuzo hizo maarufu za filamu dunia MAAJABU YA MTANDAONI BOFYA HAPO CHINI HUTAAMINI MACHO YAKO.
ABOUT PRINCE BEWISA: PRINCE BEWISA BLOG is an independent organization which belongs to Bewisa Multimedia and Communication (BMC Media). Prince Bewisa was officially established on September 25, 2013 for the purpose of publishing Social contents that benefits to every visitor and community in general. It’s social blog for News, Entertainments, Education, Sports, Articles, and Business.
Post a Comment