Featured
Loading...

MANISPAA YAINGIA HASARA YA SH400 MILIONI


Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro imepata hasara ya Sh400 milioni baada ya kusitisha kutoza ushuru kwa wafanyabiashara wa Soko Kuu kwa kipindi cha mwaka
mmoja na nusu sasa. Meya wa Manispaa ya Morogoro, Pascal Kihanga alisema manispaa hiyo ilipata mkopo wa Sh7.5 bilioni kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa soko hilo unaotarajiwa kugharimu Sh16 bilioni.
Alisema kuchelewa kuanza kwa ukarabati na ujenzi wa soko hilo lililojengwa 1953, kumesababishwa na ukosefu wa fedha

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Morogoro, Paschal

MAAJABU YA MTANDAONI BOFYA HAPO CHINI HUTAAMINI MACHO YAKO.

ABOUT PRINCE BEWISA: PRINCE BEWISA BLOG is an independent organization which belongs to Bewisa Multimedia and Communication (BMC Media). Prince Bewisa was officially established on September 25, 2013 for the purpose of publishing Social contents that benefits to every visitor and community in general. It’s social blog for News, Entertainments, Education, Sports, Articles, and Business.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UHURU WA MAWAZO | Designed By Code Nirvana
Back To Top