→→→ Wakati katibu mkuu wa zamani wa Chadema, Dk Willibrod Slaa akitangaza kujiondoa chama hicho, aliacha maswali ya kutathmini ujio wa Edward Lowassa kama utakuwa mzigo au mali kwa vyama vya upinzani, na sasa wilaya za Ilala na Kinondoni zimekamilisha majibu.
→→→ Ushindi wa kwanza wa vyama vya upinzani katika nafasi ya umeya za manispaa hizo mbili umeonyesha nguvu ya waziri huyo mkuu wa zamani aliyotoka nayo chama tawala.
ABOUT PRINCE BEWISA: PRINCE BEWISA BLOG is an independent organization which belongs to Bewisa Multimedia and Communication (BMC Media). Prince Bewisa was officially established on September 25, 2013 for the purpose of publishing Social contents that benefits to every visitor and community in general. It’s social blog for News, Entertainments, Education, Sports, Articles, and Business.
Post a Comment