Featured
Loading...

HRW lawashtumu waasi wa Houthi


Shirika la haki za kibinadamu lenye makao yake nchini Marekani Human Rights Watch limeshutumu kundi la waasi wa Houth nchini Yemen kwa vitendo vyake vya utesaji wa kinyama na kuwashikilia wapinzani wao katika mji mkuu wa Yemen wa Sanaa

Shirika hilo limesema lilifanya kipindi maalumu na kuwatazama watu 35 majira ya kiangazi mwaka jana ambapo watu hao wengi wao wangali wako kizuizini. Limeongeza kuwa shirika jingine la kisheria la nchini Yemen linafanyia kazi wafungwa wengine waliopo kizuzini zaidi ya mia nane na watu wengine waliopotea.
Kundi la Houthi linaushirikilia mji wa mkuu wa Yemen Sanaa kwa zaidi ya mwaka sasa licha ya juhudi za majeshi ya serikali na washirika wao wa Saudi Arabia kupambana kuwaondosha.

MAAJABU YA MTANDAONI BOFYA HAPO CHINI HUTAAMINI MACHO YAKO.

ABOUT PRINCE BEWISA: PRINCE BEWISA BLOG is an independent organization which belongs to Bewisa Multimedia and Communication (BMC Media). Prince Bewisa was officially established on September 25, 2013 for the purpose of publishing Social contents that benefits to every visitor and community in general. It’s social blog for News, Entertainments, Education, Sports, Articles, and Business.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UHURU WA MAWAZO | Designed By Code Nirvana
Back To Top